
Yanga kung’oa kocha Mamelodi | Mwanaspoti
Kiwango kibovu ilichokionyesha Mamelodi Sundowns msimu uliopita ikiwemo kushindwa kufurukuta mbele ya Yanga katika mechi mbili timu hizo zilipokutana kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika vimepelekea mabosi wa Mamelodi kusitisha mkataba wa kocha wake Rulani Mokwena. Ikumbukwe Mamelodi ilikutana na Yanga kwa mara ya kwanza Machi 30 mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa…