'Njaa iko kila mahali', watoto wachanga wanakufa kutokana na baridi, shambulio la anga dhidi ya waandishi wa habari wasio na silaha lashutumiwa – Global Issues

Huko Gaza, ambapo mamia ya maelfu ya watu waliokimbia makazi yao wanajificha kwenye mahema, hali ya joto inatarajiwa kushuka zaidi katika siku zijazo. Edouard Beigbeder, UNICEF Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini, aliripoti katika a kauli siku ya Ijumaa kwamba, kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Palestina, watoto wanne waliozaliwa…

Read More

Mabadiliko ya tabianchi na hatari ya wanyama kupotea – 4

Kilimajaro. Ongezeko la joto, mabadiliko ya vipindi vya mvua, na upungufu wa raslimali za asili vinaathiri uwezo wa wanyama kufuata mifumo ya hali ya hewa. Jambo hili limeathiri wanyama kutafuta chakula na hivyo kuhamia maeneo mapya, hali inayoongeza hatari ya kutoweka au kushambuliwa na magonjwa. Haya ni mabadiliko ya tabianchi yaliyoathiri mifumo ya ikolojia ya…

Read More

Sababu ya idadi kubwa ya wanafunzi na suluhisho-3

Dar es Salaam. Utoaji elimu bila malipo inatajwa kuwa moja ya sababu ya kuwapo ongezeko kubwa la wanafunzi linaloshuhudiwa kila mwaka katika shule mbalimbali nchini. Wilaya ya Temeke ni miongoni mwa zile zilizoathiriwa na hali hiyo na kufanya baadhi ya shule kuwa na wanafunzi wengi kuliko uwezo wake. Mbali na elimu bila malipo, pia ukuaji…

Read More

CPA MAKALA:WAGOMBEA CCM WAMEANDALIWA,WAKO TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makala amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kimeweka wagombea safi ambao wako tayari kuleta kuleta maendeleo CPA Makala ameyasema hayo leo Novemba 21,2024 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Kigamboni…

Read More

Misukosuko anayopitia Mdude Nyagali | Mwananchi

Mbeya/Dar. Kwa mara ya sita tangu mwaka 2016, mwanaharakati Mdude Nyagali, amejikuta kwenye misukosuko, safari hii ikidaiwa watu waliojitambulisha askari polisi wamevamia nyumbani kwake, wakampiga na kumkamata. Hata hivyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga leo Ijumaa Mei 2, 2025 kupitia taarifa kwa umma amekanusha taarifa hizo zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikilihusisha…

Read More