Olimpiki: Tumevuna tulichopanda | Mwanaspoti

ACHA niwe mkweli tu kwamba tangu mwanzo niliamini binafsi timu yetu ya Tanzania iliyoshiriki Michezo ya 33 ya Olimpiki huko Paris, Ufaransa iliyomalizika Jumapili ya wiki iliyopita ilikuwa dhaifu sana, kiasi haikuwa na uwezo wowote. Sio tu wa kushinda medali, bali hata ile chembe ya kutia kishindo cha maana kwenye michezo hiyo mikubwa kuliko yote…

Read More

Kuendeleza kazi kwa ajili ya Fedha za Hali ya Hewa na Mifumo ya Kilimo ya Chakula Iliyobadilishwa na Hali ya Hewa – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na David Nabarro (geneva) Alhamisi, Desemba 12, 2024 Inter Press Service GENEVA, Desemba 12 (IPS) – Kuchanganyikiwa kwa kasi ya hatua za hali ya hewa na ukubwa wa shabaha ya kifedha iliyokubaliwa huko Baku ni halali kwa mtazamo wa nchi zenye kipato cha chini, hasa Nchi Zinazoendelea za Visiwa Vidogo (SIDS). Ni muhimu pia…

Read More

TUME YA USHINDANI FCC KWA KUSHIRIKIANA NA FCS WAMEZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI ZA MLAJI DUNIANI

Tume ya Ushindani FCC kwa kushirikiana na Shirika la The Foundation For Civil Society FCS wamezindua maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji Duniani, yanayotarajiwa kufanyika kitaifa Machi 17, 2025 Jijini Dar es Salaam, ambapo mgeni rasmi anatajiwa Waziri wa Viwanda na Biashara DKt. Selemani Jafo. Maadhimisho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya “Haki na…

Read More

Mbinu ya kuharakisha matumizi nishati safi yatajwa

Dar es Salaam. Katika kuharakisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mitaji ya Maendeleo (UNCDF) limependekeza ushirikishwaji wa viongozi wa dini na wale wa kimila katika kutoa elimu kwa wananchi. Pendekezo hilo limetolewa leo Juni 21, 2024 na Ofisa Mwekezaji Mwandamizi wa UNCDF, Emmanuel Muro, katika kongamano…

Read More

KUPITIA MRADI WA FEMA AILEADERS WABUNGE WABUNIFU NA MAKUNDI MENGINE WAPIGWA MSASA AKILI MNEMBA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KUPITIA Mradi wa FemAILeaders, Shirika la Women Political Leaders (WPL), GIZ Makao Makuu, GIZ Tanzania na Omuka imeandaa Mafunzo ya Akili Mnemba “Artificial Intelligence – AI” yaliyoanza Mei 19 hadi 20 mwaka 2025, Dar es Salaam yaliyolenga mambo mbalimbali ikiwemo ulinzi wa mtandao,ubunifu na matumizi ya AI. Mafunzo haya yaliwaleta…

Read More

Wakuu wa mikoa, wilaya wanaendeleza ubabe

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema bado wakuu wa wilaya na mikoa hawafuati waraka uliotolewa na Serikali unaoelekeza uzingatiaji wa sheria na kanuni katika utekelezaji wa mamlaka yao ya ukamati badala yake wanaendeleza ubabe. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Waraka huo namba moja uliotolewa mwaka 2023 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka ulielekeza wakuu hao wa…

Read More

Waziri Bashe azindua kituo atamizi cha Mkonge BBT

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tanga Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameiagiza Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), kuweka utaratibu mzuri kuhakikisha kunakuwa na vifaa vyote muhimu katika Kituo Atamizi cha Mkonge BBT kilichopo Tanga. Waziri Bashe ameyasema hayo baada ya kuzindua kituo hicho kinacholenga kutoa mafunzo ya ubunifu na uzalishaji wa bidhaa za mkono zitokanazo…

Read More

Baraza la Usalama lilitoa muhtasari juu ya changamoto za ulinzi wa amani huko Lebanon, Syria – Masuala ya Ulimwenguni

Naibu Katibu Mkuu wa Operesheni za Amani Jean-Pierre Lacroix aliungana na Meja Jenerali Patrick Gauchat, Mkuu wa Shirika la Usimamizi wa Udhibiti wa UN (UNTSO) ambaye anasimamia kwa muda kikosi cha Umoja wa Mataifa huko Golan, FUNGUA. Kwa sasa Bw. Lacroix yuko nchini Lebanon, ambako kuna kikosi cha Umoja wa Mataifa nchini humo UNIFILhufuatilia mpaka…

Read More