
Rais wa Misri kushuhudia uzinduzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Dk Badr Abdelatty amesema Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah al Sisi anashauku kushuhudia uzinduzi wa mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 99.9. Dk Abdelatty ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi, jana Jumatano Machi 19, 2025 amesema kuwa…