
Watanzania 16 waelekea masomoni Japan
Dar es Salaam. Wanataaluma 16 wa Tanzania wanatarajia kuanza safari yao ya kimasomo nchini Japan. Wanataaluma hao watasoma shahada za uzamili na kupata uzoefu kwa vitendo kupitia mafunzo ya kazi katika kampuni za kijapani. Wanufaika hao chini ya Mpango wa Elimu ya Biashara kwa Vijana wa Afrika (ABE Initiative-African Business Education Initiative for Youth), huku…