
Balozi Karume afichua kwanini hawezi kufukuzwa CCM
Miezi 14 baada ya kuvuliwa uanachama, mwanadiplomasia, Balozi Ali Karume ameendelea kusisitiza kwamba yeye ni mwanachama halali wa Chama cha Mapundizi (CCM) na hawezi kuvuliwa uanachama na “mdandia reli”. Mwanasiasa huyo amekuwa kimya katika kipindi chote hicho tangu alipovuliwa uanachama wa CCM, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni ukiukaji wa maadili na misingi ya chama kwa…