
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini leo Mei 22, 2024 jijini Arusha. Jukwaa hilo la siku tatu linaloambatana na maonesho linalotarajiwa kumalizika Mei 24, 2024 linakutanisha wadau wa madini ikiwa ni pamoja na wamiliki wa leseni…