Wababe wa Yanga watambiana Tabora
Timu za Tabora United na Azam FC ambazo ndio timu pekee zilizoifunga Yanga kwa msimu huu zimetambiana kueleeka mchezo wa Ligi kuu bara utakaochezwa leo Desemba 13, 2024 kila mmoja ikijinasibu kufanya vizuri katika mchezo huo utaakopigwa Alsan Mwinyi mkoani Tabora. Akizungumza na Mwanaspoti Kocha wa Tabora United mwenyeji wa DR Congo Anicet Makiadi amesema…