
Ulega akoleza moto, aunda kamati kuchunguza kivuko
Dar es Salaam. Siku moja baada ya kumsimamisha mkandarasi anayejenga barabara ya Mkange hadi Bagamoyo (Makurunge) mkoani Pwani, Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameunda timu ya wataalamu na kuchunguza changamoto za mara kwa mara katika Kivuko cha MV TANGA. Kivuko hicho kilichopo wilayani Pangani mkoani Pwani, baada ya kupokea malalamiko ya wananchi kuhusu kusuasua kwa…