
Coastal, Simba ugumu upo hapa!
SIMBA tayari ipo jijini Arusha kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Bara utakaopigwa kesho dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, huku ukionekana kuwa mgumu kwa timu zote kutokana na rekodi zilizopo mbali na matokeo ya mchezo wa awali ulioisha kwa sare ya 2-2. Sababu kuu ya ugumu wa…