
Serikali yatoa msimamo sakata la Sukari
*Yasema haina mpango wa kuhujumu sekta hiyo *SBT yasema milango iko wazi kwa wanye malalamiko Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya sukari nchini na kueleza kuwa haina mpango wa kuhujumu sekta hiyo. Serikali inafanya jitihada kuhakikisha sukari inapatikana ya kutosha kwa bei nafuu. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa, Julai 5,…