
Mstaafu anapofarijika pale jamii inapoonyesha kumjali
Wakati mstaafu akijiandaa na kujipa moyo akisubiri nyongeza ya shilingi elfu hamsini aliyoongezwa kwenye pensheni yake ya ‘Laki si pesa’ baada ya miaka 20 na anayotegemea iingie mfukoni mwake mwishoni mwa ‘Njaanuari’, anafarijika kuona angalau jamii yake inamuunga mkono kwenye malalamiko yake kuhusu taabu zinazomkabili. Maoni hayo ya wananchi anayasoma kwenye mitandao ya kijamii lakini…