
THRDC yataja maeneo sita yanayoongoza kwa uvunjifu wa haki za binadamu
Dar es Salaam. Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Onesmo Olengurumwa ametaja maeneo matano yanayoonyesha viashiria vya uvunjifu wa haki za binadamu likiwemo eneo la uhuru wa habari na kujieleza, akisema bado kuna sheria kandamizi. Maeneo mengine ni pamoja na haki ya kukusanyika, na kujumuika, ushiriki wa wananchi, kutobaguana na kujumuisha…