Suluhisho la kisiasa la kumaliza vita nchini Yemen linaweza kufikiwa, mjumbe wa UN anasema – maswala ya ulimwengu

Hans Grundberg Iliyofafanuliwa Juu ya maendeleo ya hivi karibuni ya kisiasa nchini, ambapo waasi wa Houthi, pia hujulikana kama Ansar Allah, na vikosi vya serikali, vinaungwa mkono na muungano unaoongozwa na Saudia, wamekuwa wakipigania madaraka kwa zaidi ya muongo mmoja. Alizungumza pamoja na mratibu wa misaada ya dharura ya UN Tom Fletcher ambaye alisasisha juu…

Read More

UKATILI DHIDI YA WATOTO NA VIJANA WAPUNGUA: WAZIRI DKT. GWAJIMA

……………….. Na WMJJWM-Dar Es Salaam  📌 Serikali yaahidi kutumia matokeo hayo kupanga mikakati na mipango na programu mbalimbali ya Serikali za kupambana na Ukatili. Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema matokeo ya Utafiti wa Ukatili dhidi ya Watoto na Vijana wa mwaka 2024 yanaonesha Ukatili umepungua…

Read More

NCC YAFUNZA MBINU KUPUNGUZA GHARAMA ZA UJENZI

   …………………….. Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) limeendelea kuimarisha uwezo wa wataalamu wa sekta ya ujenzi nchini kwa kutoa mafunzo yatakayowawezesha kutekeleza miradi kwa ufanisi, kupunguza gharama zisizotarajiwa, na kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa viwango vilivyokusudiwa. Kupitia mafunzo hayo, NCC imelenga kuwajengea uwezo waajiri, wakandarasi na washauri elekezi kusimamia mabadiliko ya kazi, madai na migogoro…

Read More

VETA YALETA NEEMA KWA WAFANYAKAZI MAJUMBANI

*Wafanyakazi 700 wapata mafunzo vyuo vya VETA Na Mwandishi Wetu Wafanyakazi wa majumbani 700 wamepatiwa mafunzo maalum na kutunukiwa vyeti na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), kwa lengo la kuwawezesha kupata ujuzi mahususi kwa kazi zao. Muwezeshaji wa mradi huo, Debora Mwageni amessema mafunzo hayo yanamwezesha mfanyakazi wa ndani kuwa na…

Read More

FREEMAN MBOWE ALALAMIKIA VITENDO VYA UTEKAJI NCHINI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameibua maswali mazito kuhusu ongezeko la matukio ya utekaji wa viongozi na wananchi mbalimbali nchini Tanzania. Akizungumza na wanahabari mapema leo jijini Dar es Salaam, Mbowe alidai kuwa vitendo hivi vimeendelea kuongezeka, huku vyombo vya usalama vikilaumiwa kwa kukaa kimya na kutokuchukua hatua za kisheria…

Read More

Aggy Simba, Dokta Moo wafungiwa Simba

Wanachama maarufu wa Simba, Agness Daniel ‘Aggy Simba’ na Mohamed Hamisi ‘Dk Moo’ wamefungiwa na Sekretarieti ya klabu hiyo kujihusisha na masuala yote ya timu hiyo kutokana na malalamiko mengi ya kimaadili. Sekretarieti ya Simba imewafungia wanachama hao  hadi pale Kamati ya Maadili itakavyoamua vinginevyo. Katika taarifa ya Simba  kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo…

Read More