
NHC yawakaribisha Watanzania Kuchangamkia Fursa za Upangaji na Ununuzi wa Nyumba
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limewataka watanzania kufika katika banda lao kwenye maonyesho ya Kimataifa ya bishara ya Dar Salaam, maarufu kama Sabasaba ili kujua fursa mbalimbali za upangaji na ununuzi wa nyumba aidha NHC imesema imeandaa miradi mbalimbali inayolenga kuboresha makazi na maisha ya Watanzania. Akizungumza katika banda la maonyesho la Shirika hilo,…