
Kilichomzuia Baleke kutua Namungo chatajwa
MASHABIKI wa klabu ya Namungo walikuwa wakihesabu saa kabla ya kumuona straika wa zamani wa Simba na Yanga, Jean Baleke akitua katika kikosi hicho, lakini imeshindikana na mabosi wa klabu hiyo wameanika sababu zilizomzuia mshambuliaji huyo kujiunga na timu hiyo. Baleke alijiunga na Yanga katika dirisha kubwa la msimu huu, lakini akashindwa kupata nafasi ya…