Waziri mkuu azindua kamati ya kitaifa AFCON 2027

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo ya Tanzania kufanya vizuri kwenye michuano hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo kwenye hafla iliyofanyika katika hotel ya…

Read More

Keir Starmer achukua wadhifa wa Waziri Mkuu wa Uingereza – DW – 05.07.2024

Ushindi huo unahitimisha enzi ya serikali ya chama cha kihafidhina cha Conservative, kilichokaa madarakani kwa miaka 14.  Starmer amechukua wadhifa huo muda mfupi baada ya kukutana na Mfalme Charles III kwenye la Buckingham na kuombwa rasmi kuunda serikali mpya. Mwanasiasa huyo amekiongoza chama chake kupata ushindi mkubwa kabisa na wa kihistoria katika uchaguzi wa hapo jana….

Read More

Kampuni mbili za Kitanzania zajitosa matengenezo Mv Kigamboni

Dar es Salaam. Muda wa zabuni iliyotangazwa kusaka mkandarasi atakayekifanyia matengenezo makubwa kivuko cha Mv Kigamboni umefika mwisho, kampuni mbili za Kitanzania zikijitokeza kuomba kazi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya zabuni hiyo namba X8/2023/2024/W/53 mkandarasi anayehitajika ni atakayekuwa na uwezo wa kufanya ukarabati mkubwa wa kivuko hicho, kwa maana ya kubadilisha zaidi ya asilimia…

Read More

WAWEKEZAJI KUTOKA NJE WAKARIBISHWA KUWEKEZA TANZANIA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Stanslaus Nyongo amesema Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara maarufu (Sabasaba) ni fursa muhimu ya kutangaza na kuwakaribisha wawekezaji ili kuona fursa mbalimbali za uwekezaji nchini. Ameongeza kuwa Maonesho hayo yamekuwa na mvuto mkubwa kwa kuwa Wizara na taasisi zilizoshiriki zimeonesha fursa zilizopo katika uwekezaji. “Tanzania…

Read More

Vita kusitishwa kwa muda mashariki mwa Kongo – DW – 05.07.2024

Ikulu ya Marekani ya White House imesema makubaliano hayo ya kusitisha mapigano yatakayoanza kutekelezwa leo Ijumaa kuanzia saa sita usiku na kuendelea hadi Julai 19, yatayahusisha maeneo ambayo migogoro huwaathiri zaidi raia. Marekani yasema mashirika ya msaada yanashindwa kufikia eneo la mgogoro Katika taarifa, msemaji wa baraza la usalama la kitaifa la Marekani Adrienne Watson,…

Read More

Walimu watakuiwa kuweka mifumo ya kuthibiti ukatili shuleni

SERIKALI imewaagiza walimu wakuu wa shule za msingi nchini kuhakikisha wanaweka mifumo na mikakati thabiti ya kuwalinda Watoto dhidi ya unyanyasaji na ukatili wa aina yoyote ili kufanya shule kuwa mazingira salama kwao. Hayo yamesema na Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu sayansi na Teknoljia Profesa Carolyne Nombo katika hotuba yake iliyosomwa na Kamishna wa…

Read More