
Israel yafanya operesheni ya kijeshi Jenin – DW – 05.07.2024
Operesheni hiyo ya Israel imejumuisha mashambulizi ya anga katika eneo hilo.Wizara ya Afya ya mamlaka ya Palestina imesema kuwa watu watano wameuwawa Ijumaa kutokana na operesheni ya Jeshi la Israel inayoendelea kwenye mji wa Jenin. Kulingana na wizara hiyo, Wapalestina wasiopungua 12 wameuwawa ndani ya wiki hii katika eneo hilo linaloshuhudia ongezeko la machafuko tangu…