Wanafunzi Hazina wang’ara siku ya UN

Na Mwandishi Wetu WANAFUNZI wa shule ya Kimataifa ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, wameonyesha umahiri mkubwa kwenye siku ya Umoja wa Mataifa (UN) kwa kutoa mada zilizowavutia wageni waalikwa. Wanafunzi hao walialikwa kutoa mada kwenye sherehe za miaka 79 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa (UN) ambapo Waziri wa Ulinzi, Stegomena…

Read More

WAZIRI JAFO ASISITIZA TIJA KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Naipanga Wilaya ya Nachingwea ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake Maalum Mkoani Lindi inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”….

Read More

Kilichoelezwa na Serikali baada ya kikao na viongozi wa Kariakoo

Dodoma. Serikali imesitisha kazi ya ukaguzi wa risiti za kielektroniki (EFD) na ritani za kodi iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo. Uamuzi huo umekuja baada ya kikao kilichowashirikisha wafanyabiashara nchini wakiongozwa na Mwenyekiti wa…

Read More

Aisha Masaka atua Uingereza, kukipiga Brighton

KLABU ya BK Hacken ya Sweden imemuuza straika Mtanzania, Aisha Masaka kwa klabu ya Brighton inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Uingereza. Mapema leo Hacken imetoa taarifa kuwa imemuuza mchezaji huyo kujiunga na Brighton inayoshiriki Ligi ya Kuu ya Wanawake nchini Uingereza ambayo imemaliza nafasi ya tisa kwenye msimu uliopita. Straika huyo wa timu ya…

Read More