
WATUMISHI TARURA WAPATIWA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA (NCDs)
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Watumishi wa TARURA Makao Makuu wamepatiwa elimu juu ya masuala ya msongo wa mawazo, kupima afya pamoja na ushauri namna ya kujikinga na Magonjwa Yasiyo Ambukiza (NCDs) hususani mahala pa kazi. Akiongea wakati wa kufungua mafunzo hayo Kaimu Meneja wa Utawala na Rasilimali Watu TARURA, Bw. Joseph Sassi amesema lengo la…