
Sh10 bilioni kujenga miundombinu ya kuhifadhia parachichi
Rungwe. Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya itatumia zaidi ya Sh10 bilioni kwa ajili mradi wa ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya kukusanyia na kuhifadhi zao la parachichi. Mradi huo umeanza kutekelezwa katika Kijiji cha Nkuga kilichopo katika Kata ya Nkuga wilayani humo, sambamba na ujenzi wa viwanda vidogo vidogo vya kuongezea thamani zao…