
Msajili awanoa wakuu wa taasisi za umma
SERIKALI imetoa maagizo tisa kwa watendaji wakuu wa taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika maeneo yao ya kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). Maagizo hayo yalitolewa wilayani Kibaha, mkoani Pwani jana Jumatatu tarehe 07 Oktoba 2024; na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais, Mipango na…