
IAWP WAELEZA NAMNA WATAKAVYO DHBITI, MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO.
Na. Abel Paul, Abuja Nigeria. Askari wakike Kutoka ukanda wa Afrika IAWP ambao wapo jijini Abuja Nchini Nigeria wameendelea na mafunzo yanamna ya kudhibiti uhalifu wa kimtandao na kupata elimu juu ya matumizi sahihi ya Teknolojia pindi watakapo rudi katika mataifa yao. Akiongea leo julai 04,2024 mara baada ya mafunzo hayo Naibu Kamishna wa uhamiaji…