
Aliyeua mke, mtoto kuwafukia shambani ahukumiwa kifo
Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Haridi Ntamoye, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mke pamoja na mtoto wake kisha kuwafukia kwenye shimo shambani kwao. Miili ya Ashura Moshi (mke) pamoja na mtoto wao, Alibika Khalid, iligunduliwa shambani humo ikiwa imeanza kuharibika. Hukumu hiyo imetolewa jana Machi 10,…