Serikali ya Kenya Yatoa Msamaha kwa Wakenya Waliojiunga na Vita vya Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Musalia Mudavadi Raia wa Kenya waliojiunga kupigana vita kwa niaba ya Urusi dhidi ya Ukraine watapewa msamaha watakaporejea nyumbani,” Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Musalia Mudavadi. Tangazo hilo linafuatia ziara ya hivi karibuni ya Mudavadi mjini Moscow, ambapo alijadiliana kuhusu suala hilo na kukubaliana kuwa hakutakuwa…