Spika Zungu aahidi mazingira bora ya kisheria kwa wanawake
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ameahidi kuwa Bunge litakuwa mdau wa kwanza katika kuhamasisha mazingira bora ya kisheria yanayochochea usawa wa kijinsia nchini na kuwainua wanawake. Spika Zungu ametoa ahadi hiyo leo Machi 4, 2026 wakati wa hafla ya wahitimu wa mafunzo ya wanawake na uongozi awamu ya 11,…