VIJANA 34 KUNUFAIKA NA ADA YA NUSU MASOMONI IRELAND
****** Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Jumla ya vijana 34 wanufaika wa mpango wa Samia Scholarship Extended DS/AI+ wanatarajiwa kupata punguzo la ada ya masomo kwa asilimia 50 katika Chuo Kikuu cha Limerick nchini Ireland, kufuatia makubaliano yaliyotiwa saini Machi 26, 2026 jijini Dar es Salaam. Makubaliano hayo yamefikiwa kati ya Serikali kupitia Wizara…