
Azam ilivyopambana siku 300 kurejea kileleni
HATIMAYE matajiri wa Chamazi, Azam FC wamerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya miezi tisa na siku 26 (sawa na siku 300) kufuatia ushindi wa mabao 3-1 ambao waliupata juzi, Jumapili kwenye Uwanja wa Jamhuri dhidi ya wenyeji wao, Dodoma jiji. Mara ya mwisho kwa Azam kuwa kileleni mwa msimo wa Ligi…