
Kahawa inavyosaidia wazee kurudisha nguvu mwilini
Unywaji wa kahawa unasaidia katika kuimarisha misuli ya mwili miongoni mwa wanaume wakongwe, wanasayansi wamebaini. Wengi ambao wamefikia ukongwe, huwa na tatizo la misuli yao kuisha nguvu au kulegea, ugonjwa ambao unafahamika kwa kimombo kwa jina la ‘Sarcopenia’. Ugonjwa huo hulemaza uwezo wa mwanaume kuwajibika kwa kaz za kawaida zikiwamo za nyumbani. Hii ni kwa…