Masheha, watendaji walaumiana uchimbaji holela mchanga, mawe

Unguja.  Wakati Wizara ya Maji, Madini na Maliasili Zanzibar ikidai masheha ndio wanawajibika kulinda mali zisizohamishika, wao wamesema baadhi ya watendaji wa wizara ndio wanaoshirikiana na watu wanaofanya uharibifu huo.  Kwa mujibu wa sheria ya mazingira ya mwaka 2015, utartibu wa kuchimba mchanga, mawe na kuvisafirisha vinatakiwa kuombewa kibali maalumu wizarani huku yakitengwa maeneo maalumu ya…

Read More

Huu hapa mkakati wa kuisuka upya Chaumma

Dar es Salaam. Baada ya kufuru ya mikutano katika kumbi ghali na kupokea maelfu ya wanachama, mwelekeo wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwa sasa ni kukisuka upya chama hicho, kifikie hadhi ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Kwa mujibu wa Naibu Katibu Mkuu Bara wa chama hicho, Benson Kigaila, ingawa Chaumma ina umri…

Read More

Washambuliaji wampa matumaini kocha JKT

BAADA ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmed Ally amefurahishwa na safu yake ya ushambuliaji kuanza kutengeneza nafasi nyingi huku akiamini kwamba ipo siku timu pinzani zitafungwa mabao mengi. Licha ya kupachika bao moja katika mchezo huo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Meja…

Read More

Hizi hapa fani zinazopendwa na wengi vyuo vikuu

Dar es Salaam. Wakati dirisha la kuomba udahili kwa wanafunzi wa vyuo vikuu likifunguliwa rasmi, takwimu zinaonyesha fani nne ndiyo zinazopendwa zaidi na wanafunzi. Kwa mujibu wa takwimu mpya za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) zilizotolewa Mei 2025, takribani asilimia 70 ya wanafunzi waliojiunga na vyuo vikuu mwaka 2024/2025  walichagua masomo ya biashara, elimu, sayansi…

Read More

Wanne wafariki ajalini wakitoka harusini

Dodoma. Watu wanne wamefariki dunia baada ya lori aina ya Scania lilobeba mafuta ya petroli kugongana uso kwa uso na basi aina ya Coaster iliyobeba ndugu waliokuwa wakitoka katika sherehe ya harusi Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishana Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, George Katabazi amesema ajali hiyo…

Read More

Muuguzi amkuna RC Malima, aagiza ofisi ya DC imzawadie

Mlimba. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ametoa agizo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Dastan Kyobya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba, Jamal Idrisa kuhakikisha wanaweka utaratibu wa kumpongeza Gordian Maganga (28), Ofisa Muuguzi Daraja la Pili wa Zahanati ya Ikwambi, kwa kazi kubwa na ya kujitolea anayofanya. Maganga amepongezwa kwa…

Read More

Straika Namungo ndio basi tena!

MSHAMBULIAJI wa Namungo, Ibrahim Ali Mkoko amemaliza msimu kutokana na kufanyiwa tena upasuaji wa pili wa goti la mguu wa kulia, kutokana na mishipa yake kushindwa kupeleka damu kwa wakati sahihi. Akizungumza na Mwanaspoti, Daktari wa Namungo, Richard Yomba alisema mchezaji huyo kwa sasa hawezi kucheza tena mechi zote zilizosalia msimu huu, ingawa maendeleo yake…

Read More