
Shule ya Kamsamba, Tunduma day zapata wenyeviti wapya
WAJUMBE wa kamati ya bodi ya shule ya sekondari ya Kamsamba na shule ya kutwa ya Tunduma zinazomilikiwa na jumuiya ya wazazi (CCM) mkoani Songwe wamewachagua wenyeviti watakaoongoza vikao vya shule hizo. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe…(endelea). Uchaguzi huo umefanikiwa leo tarehe 4 Juni 2024 katika shule ya sekondari ya kutwa iliyopo halmashauri ya mji Tunduma…