
Haya hapa majina waliofaulu usaili ajira serikalini
Dar es Salaam. Watanzania walioomba kazi katika nafasi mbalimbali ambao walifanya usaili kati ya Januari 14, 2023 na Juni 21, 2024 na kufaulu sasa wameitwa kuripoti kazini. Jana Jumatatu, Agosti 5, 2024, taarifa ya Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imesema watu hao wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi ndani…