Zaidi ya wakimbizi 125,000 wanarejea Syria katika hali mbaya – Masuala ya Ulimwenguni

Uongozi wito kwa jumuiya ya kimataifa “kutoka kwa maneno kwenda kwa vitendo” kusaidia watu walio katika mazingira magumu zaidi waliorejea nchini humo haraka, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCRalisema hivyo familia nyingi hazina makao na matarajio machache ya kiuchumi. “Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo katika duru za ngazi ya…

Read More

‘Energy drinks’ zaibua mjadala Baraza la Wawakilishi

Unguja. Sakata la madhara yanayosababishwa na vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) limeibukia katika Baraza la Wawakilishi, ikielezwa kuna utafiti unaonyesha kinywaji hicho ni hatari kwa afya ya binadamu. Katika swali la msingi leo Mei 29, 2024, mwakilishi wa Wingwi, Kombo Mwinyi Shehe ametaka kujua ni kwa kiwango gani Serikali inafahamu tatizo hilo akieleza kuna…

Read More

Aisha Masaka kuanza na Everton, Man City

MSIMU mpya wa Ligi ya Wanawake England unaanza rasmi mwezi huu na klabu ya Brighton & Hove Albion anayoichezea Mtanzania, Aisha Masaka inatarajiwa kuanza na Everton Septemba 21. Masaka alisajiliwa msimu huu na klabu hiyo akitokea BK Hacken ya Sweden alikodumu kwa misimu miwili tangu ajiunge nao mwaka 2022 akitokea Yanga Princess. Kwa mujibu wa…

Read More

WASHIRIKI MAADHIMISHO JUMA LA ELIMU KITAIFA, 2025, WAFANYA ZIARA KUTEMBELEA SHULE MKOANI KATAVI

Mratibu Taifa wa TEN/MET, Bi. Martha Makala (katikati) akisaini kitabu cha wageni katika moja ya mikutano na wazazi, walimu, viongozi na wadau wengine wa elimu, kwenye ziara za washiriki wa Juma la Elimu mwaka huu kutembelea shule anuai, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Kitaifa ya Maadhimisho ya…

Read More

Viongozi wa dini watoa neno suluhu ya mashauri ya ndoa

Dar es Salaam. Wakati Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu ikija na mkakati wa kushughulikia mashauri ya ndoa kwa kutenga fungu kwa ajili hiyo, viongozi wa dini wameshauri nguvu ielekezwe kwenye kukabiliana na kiini cha changamoto hiyo. Mei 27,2025 akiwasilisha bajeti bungeni jana, Waziri Dk Dorothy Gwajima alisema wizara hiyo imeandaa…

Read More

POLAND YAONESHA NIA KUSHIRIKI UJENZI WA SGR

 Na Benny Mwaipaja, Warsaw-Poland Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishukuru Serikali ya Poland kupitia Shirika lake la Bima (KUKE), kwa kuonesha nia ya kudhamini upatikanaji wa fedha kwa ajili ya Ujenzi wa kipande cha 3 na cha 4 cha Mradi wa Reli ya Kisasa wa SGR kuanzia Makutupora hadi Tabora na…

Read More