Trump anaunganisha Gaza – maswala ya ulimwengu

Bibilia Takatifu, Toleo la Trump: “Watapiga panga zao kuwa milango tisa.” Mikopo: Shutterstock. Maoni na Peter Costantini (Seattle, USA) Ijumaa, Februari 28, 2025 Huduma ya waandishi wa habari SEATTLE, USA, Februari 28 (IPS) – Kama mtu yeyote anayejiheshimu wa familia ya uhalifu yenye nguvu, Donald Trump – aka “Don the Con” – daima hupata ladha…

Read More

Tabasamu la matumaini limerejea usoni mwa Mdamu

NYOTA wa zamani wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu tabasamu la matumaini limerejea usoni mwake baada ya juzi Ijumaa kufanyiwa upasuaji na kushukuru kwa kila aliyechangia kufanikisha matibabu hayo kwa kusema ‘Ahsanteni sana’. Mdamu ametoa kauli hiyo akiwa bado amelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisubiri kutengemaa kwa afya yake ili kurudi kwenye shughuli zake…

Read More

IMANI KAJULA; Siku 913 mataji mawili

JANUARI 26, 2022 Simba ilimtangaza Imani Kajula kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu alikichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba 10, 2021. Hadi Agosti Mosi, mwaka huu, siku ambayo ataachia ngazi katika nafasi hiyo atakuwa ametimiza siku 913 tangu ashike nafasi iliyoachwa na Barbara, huku akishindwa kufikia mafanikio yaliyofikiwa na mtangulizi wake. Tangu aingie…

Read More

Usipojipanga BDL utapigwa mapema | Mwanaspoti

LIGI ya kikapu Dar es Salaam kwa wanawake (WBDL), inazidi kuwa tamu na huku ukizubaa tu unapigwa mapema. Baadhi ya timu zimejikuta haziamini kilichowakuta ikiwa ni mzunguko wa 10 umeanza na zilipoteza michezo yao katika ligi hii inayokua kwa kasi. DB Lioness  ilifungwa na Polisi Stars kwa pointi 58-55, Vijana Queens ikafungwa DB Troncatti pointi…

Read More

Shirika la Marekani lamjibu Ruto sakata la Gen Z

Nairobi. Shirika la Ford Foundation la Marekani linalofanya kazi zake nchini Kenya limekanusha tuhuma za Rais William Ruto kuwa wanahusika kufadhili maandamano ya Gen Z. Taarifa rasmi iliyotolewa leo Jumanne Julai 16, 2024 na Mkurugenzi wa mawasiliano wa shirika hilo, Tolu Onafowokan inasema hawahusiki na maandamano yao, pia sera yao haiwafungamanishi na upande wowote. “Hatujafadhili…

Read More

Samia: Mradi Liganga, Mchuchuma uanze

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara na ya Mipango na Uwekezaji kukamilisha mchakato wa kuipata kampuni itakayowezesha kuanza kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma. Kuanza kwa mradi huo uliopo wilaya ya Ludewa mkoani Njombe haraka kunalenga kuwezesha upatikanaji wa malighafi kwa ajili ya kiwanda cha kuunganisha magari makubwa…

Read More

WAZIRI MKUU MSTAAFU AELEZA MAMBO MATATU KUIMARISHA HALI YA DEMOKRASIA NCHINI

Na Avila Kakingo, Michuzi Tv WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba ametaja mambo matatu yanayoonesha kuwa Demokrasia nchini imeimarika licha ya kuwepo na dosari mbalimbali. Akizungumza leo Septemba 19, 2024 wakati kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ikiwa ni katika kuadhimisha siku ya Demokrasia duniani ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Septemba 15….

Read More