
SILAA AINGILIA KATI MGOGORO WA ARDHI KATI YA MOHAMMED ENTERPRISES NA WANANCHI KIPANGEGE
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Julai 4 WAZIRI wa ardhi , Nyumba na Makazi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya Mohammed Enterprises na wananchi wa Kipangege, Msufini kata ya Soga ,Kibaha Vijijini ,Mkoani Pwani ambapo amesitisha shughuli yoyote isiendelezwe kwa pande zote mbili. Waziri huyo amechukua hatua hiyo baada ya kufanya ziara katika kijiji…