
Ajali ndege ya kusafirisha wagonjwa yaua sita Marekani
Philadelphia. Jinamizi la ajali za ndege limeendelea kuikumba Marekani baada ya ndege iliyokuwa imebeba mgonjwa, mama yake na wahudumu wanne kupata ajali na kuanguka eneo la Philadelphia nchini Marekani. Ndege hiyo ilipata ajali saa 12:30 jioni muda mfupi baada ya kuondoka katika uwanja nchini Marekani kumpeleka mgonjwa huyo katika matibabu ya dharura jijini Tijuana nchini…