
Uwezeshwaji wawekezaji Sekta binafsi chanzo mafanikio NSSF
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amefichua siri ya mafanikio makubwa ambayo NSSF imeyapata kuwa yamechangiwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyohamasisha wawekezaji katika sekta binafsi, kuweka mazingira mazuri na kuwezesha kupata waajiri na wanachama wengi…