
Rais Mwinyi ataja mafanikio ziara ya Uingereza
Unguja. Rais waHussein Mwinyi amesema ziara yake nchini Uingereza imekuwa ya mafanikio, hivyo baada ya muda mfupi Zanzibar itarajie kupokea wawekezaji katika sekta zinazoendana na sera ya uchumi wa buluu. Amesema maeneo makuu matatu ambayo yanatarajiwa kupata uwekezaji ni utalii kwa upana wake, uvuvi na ukulima wa mwani na mafuta na gesi. Dk Mwinyi aliondoka…