Vita vya kodi mtihani kwa vigogo TRA

Dar/Unguja. Kama ilivyoripotiwa kwenye gazeti hili kwamba, mgomo wa wafanyabiashara ulioanza Kariakoo, Dar es Salaam na baadaye kusambaa maeneo mengine nchini utawang’oa vigogo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), hatimaye imetokea. Juzi usiku, Rais Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko kwa kumuondoa aliyekuwa Kamishna wa TRA, Alphayo Kidata na kumteua Yusuf Mwenda kushika wadhifa huo kwenye…

Read More

Msimu ujao labda msilete timu

VIGOGO vya soka nchini, Simba, Yanga na Azam FC vipo bize kushusha na kutambulisha mashine mpya kwa ajili ya msimu utakaoanza Agosti, kiasi huko mtaani na kwenye mitandao ya kijamii mashabiki na wapenzi wanatambiana. Wale wa Yanga wanawatania Simba wakiwatisha eti labda wasipeleke timu uwanjani kwani badala ya kupigwa 7-2 kama msimu uliopita, safari hii…

Read More

Shahidi amtambua jaji kama mtuhumiwa wa mauaji

Geita. Katika hali isiyotarajiwa, shahidi wa tatu kwenye kesi inayomkabili Zephania Ndalawa anayeshtakiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia, amemtambua Jaji Graffin Mwakapeje kama mtuhumiwa wa mauaji ya Thomas Masumbuko. Shahidi huyo, Salome Cheyo (9) akiongozwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Musa Mlawa alipotakiwa kwenda kumuonyesha mtuhumiwa kama anamkumbuka, alitoka kizimbani na kwenda hadi alipo…

Read More

Tabora Utd yamvutia waya kocha Baraza

MABOSI wa Tabora United wameanza mazungumzo na aliyekuwa kocha mkuu wa Dodoma Jiji, Francis Baraza kwa ajili ya msimu ujao. Taarifa kutoka ndani ya kikosi hicho zinasema viongozi wamefungua mazungumzo na Baraza ili kukabidhiwa timu ikiwa ni muda mfupi tangu alipotemwa Dodoma Jiji na nafasi yake kuchukuliwa na Mecky Maxime. “Ni kweli mazungumzo hayo yapo…

Read More

Aucho amchambua Mukwala. Ngoma atamba kubeba ubingwa

MABOSI wa Simba wanaendelea kushusha mashine mpya kwa ajili ya kutengeneza kikosi cha msimu ujao, lakini kiungo nyota wa timu hiyo, Fabrice Ngoma ameshindwa kujizuia akisema kwa aina ya wachezaji wanaotua Msimbazi anaona kabisa msimu ujao Wekundu hao wakirejesha mataji waliyoyapoteza kwa Yanga. Ngoma amesema kinachompa jeuri ya kuitabiria Simba kubeba ndoo ilizozitema kwa Yanga…

Read More

Yanga yaanza na ‘Thank You’ mbili kimyakimya

YANGA imeanza kutoa ‘thank you’ kimyakimya, ambapo imeshawaaga nyota wawili akiwemo kipa, Metacha Mnata na kiungo mmoja, Zawadi Mauya. Yanga imemuaga aliyekuwa kipa wa timu, Metacha Mnata ambaye hatakuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao wa 2024-25 baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja na nusu. Kipa huyo alijiunga na Yanga, Januari 2023 akitokea Singida Fountain…

Read More