
REA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA KITAIFA YA NISHATI JADIDIFU
-Elimu ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia yaendelea kutolewa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki maadhimisho ya Kitaifa ya Nishati Jadidifu yanayoratibiwa na Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA). Kaulimbiu ya Maadhimisho haya ni ‘Kuwezesha Uendelevu: Kukuza Matumizi ya Nishati Jadidifu’ Katika maadhimisho haya, REA imepata fursa ya kuendelea kuhamasisha matumizi ya…