
TARI YAHIMIZA WADAU KUTEMBELEA BANDA LAO SABAASABA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA ZA KILIMO
Watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wametoa wito kwa wadau mbalimbali wa kilimo na biashara kutumia fursa ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (SabaSaba) kutembelea Banda lao ili kujifunza teknolojia mbalimbali za kilimo kuanzia afya ya udongo hadi uongezaji thamani wa mazao. Wito huo umetolewa na watafiti kutoka TARI, ambao…