CCM yaagiza ujenzi hospitali Temeke ukamilishwe

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeiagiza Manispaa ya Temeke kusimamia ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke iliyopo Mbagala Rangi Tatu ukamilike kwa wakati ili kutoa huduma kwa wananchi Dar es Salaam na mikoa ya jirani. Agizo hilo limetolewa leo Alhamisi Agosti 29, 2024 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM,…

Read More

Rekodi ya Pacome kwa Al Ahly bado inaishi

Kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji pekee katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu kuifunga Al Ahly. Pacome alifunga bao dakika ya 90+1 katika sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa Kundi D uliochezwa Desemba 2, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Al Ahly ambayo jana…

Read More

Dorothy Semu asimulia walivyouiwa kwa saa nane Angola

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema alishtuka baada ya kuona wanatengwa kwa makundi baada ya kuzuiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Quatro de Fevereiro jijini Luanda, Angola. Semu, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu walizuiwa na…

Read More

Taoussi akomaa na Saadun, Blanco

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema kikosi hicho kwa sasa kipo katika mwenendo mzuri ingawa bado anaendelea kupambana na changamoto ya umaliziaji, kutokana na timu hiyo kutengeneza nafasi nyingi lakini wanafunga mabao machache. Katika kikosi cha Azam, Nassor Saadun ndiye mshambuliaji tegemeo mwenye mabao matatu ya Ligi Kuu akisaidiana na Jhonier Blanco mwenye…

Read More

𝗛𝗔𝗟𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝟭𝟮 𝗭𝗔𝗣𝗔𝗧𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗡𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗠𝗢 𝗪𝗔 𝗲-𝗕𝗢𝗔𝗥𝗗

Jumla ya watumishi 49 kutoka halmashauri 12, wamepatiwa mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Kuratibu Vikao vya Bodi na Menejimenti (e-Board). Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Mamalaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) yamefanyika kuanzia Septemba 18 hadi 20 mwaka huu mjini…

Read More

PUMZI YA MOTO: Azam Complex imeanzia ilipoishia

 MSIMU wa mashindano wa 2024/25 umeanza nchini Tanzania, kwa mashindano ya ndani na ya nje. Kuanza kwa msimu ni kuanza kwa biashara zote zinazoambatana na mpira, ikiwemo ya viwanja vya kuchezea. Na kama kuna uwanja umeanza kwa kishindo basi ni Azam Complex, uwanja wa nyumbani wa Azam FC, uliopo pale Chamazi. Kwa siku tatu tu,…

Read More

Wanafunzi jamii ya wafugaji wapata misaada ya shule

Arusha. Zaidi ya wanafunzi 150 wa jamii ya wafugaji wa Kimasai waishio Kijiji cha Kimokouwa, wilayani Longido, Mkoa wa Arusha wamepatiwa misaada ya vifaa mbalimbali vya shule. Misaada hiyo imetolewa hivi karibuni na Shirika la ‘Smile Youth and women Support Organisation’ la jijini Arusha, kwa lengo ni kusaidia wanafunzi hao wa shule za msingi na…

Read More