Wanafunzi 292 washindwa kuripoti shule kwa hofu ya wanyama

Simanjiro. Umbali mrefu wa makazi ya wananchi na uwepo wa wanyama wakali katika maeneo hayo vimetajwa kusababisha wanafunzi 292 kushindwa kuripoti kidato cha kwanza mwaka wa masomo 2024/25 katika Shule ya Sekondari ya Emboreet, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara. Kutokana na changamoto hiyo, Mkuu wa shule hiyo, Aziza Msengesi, leo Agosti 23, 2025 ameiomba Serikali…

Read More

Uganda nayo yazifuata Kenya, Tanzania

TIMU ya Taifa ya Uganda maarufu ‘The Cranes’, imetupwa nje katika michuano CHAN 2024, baada ya kuchapwa bao 1-0 na bingwa mtetezi Senegal kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Uganda, leo Agosti 23, 2025. Katika mechi hiyo ya hatua ya robo fainali, Senegal ilipata bao hilo dakika ya 62 kupitia kwa Oumar Ba aliyepokea pasi ya…

Read More

Mwaterema arejea Kagera | Mwanaspoti

KAGERA Sugar inajiimarisha kuelekea msimu ujao inapokwenda kushiriki Ligi ya Championship baada ya kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wao, Hassan Mwaterema kutoka Dodoma Jiji. Mshambuliaji huyo amerejea Kagera Sugar akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Dodoma Jiji. Mwanaspoti limepenyezewa taarifa za ndani kutoka kwa mmoja wa viongozi wa timu hiyo kuwa wapo kwenye hatua…

Read More

MWANAISHA MNDEME AJITOSA RASMI KUGOMBEA UBUNGE KIGAMBONI KUPITIA ACT-WAZALENDO

Wakili na mwanaharakati wa haki za kijamii, Mwanaisha Mndeme, leo ameonesha dhamira yake ya kuwatumikia wananchi wa Kigamboni kwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha ACT-Wazalendo. Zoezi hilo limefanyika katika ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni na kushuhudiwa na wafuasi wake waliokusanyika kwa hamasa kubwa kuonyesha mshikamano na matumaini…

Read More

TMA FC yaanza na straika

KIKOSI cha TMA cha Arusha kipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa aliyekuwa mshambuliaji nyota wa Bigman, Arafat Adam baada ya mkataba wake na timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Champioship kufikia ukomo msimu uliopita.chukua nafasi ya aliyekuwa nyota wa timu hiyo, Ramadhan Kapera ambaye amekamilisha uhamisho wa kurejea Polisi Tanzania.

Read More

Hatima ya Mpina yamsubiri msajili

Dar es Salaam. Baada ya majadiliano ya saa moja na nusu, hatima ya Luhaga Mpina kugombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, sasa imo mikononi mwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, iliyoahidi kutoa uamuzi kabla ya Agosti 27. Hatua hiyo imefikiwa baada ya pande mbili zenye msimamo…

Read More

Straika akoleza vita Namungo | Mwanaspoti

ALIYEKUWA mshambuliaji wa timu ya vijana ya Simba, Rashid Mchelenga amekamilisha dili la kujiunga na Namungo FC kwa mkataba wa miaka miwili, akikoleza vita mpya ya eneo hilo ndani ya kikosi hicho. Mchelenga anaungana na washambuliaji wengine wapya na kuongeza vita mpya katika eneo hilo ambao ni Andrew Chamungu aliyetokea Songea United na mfungaji bora…

Read More