Radi ilivyowaua wanafunzi Dar, taratibu za mazishi…
Dar es Salaam. Hali ya huzuni imeendelea kutawala katika eneo la Msongola, wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam kufuatia vifo vya wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Msongola waliopoteza maisha kwa kupigwa na radi huku familia zao zikiendelea na maandalizi ya mazishi. Taarifa zinaeleza miili ya wanafunzi wawili tayari imeanza kusafirishwa kwenda mikoani kwa ajili…