
Babu azitega halmashauri, atoa mwezi mmoja kukusanya mikopo
Siha. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa siku 30 kwa halmashauri za mkoa huo kufuatilia na kurejesha mikopo ya asilimia 10 iliyotolewa kwa vikundi na halmashauri hizo na hazijarejeshwe. Hayo ameyasema leo Jumatano Julai 3, 2024 katika kikao maalumu cha Baraza la Madiwani lililojadili hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)…