
Tanzania kuwa kitovu cha matibabu ya kibingwa katika bara la Afrika
Serikali imesema imedhamiria kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi katika Bara la Afrika na kuwa nchi ya kutembelewa kwa ajili ya utalii tiba kutokana na uboreshanji wa miundombinu ya afya maeneo yote nchini. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, alipokuwa akifungua mkutano Mkuu wa…