HESLB yaja na ‘Fichua’ kuwasaka wadaiwa sugu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu. Kampeni hiyo, inayofahamika kama #Fichua imezinduliwa jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Dkt. Bill Kiwia ambaye amesema kampeni hiyo itaendeshwa…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Gift, Yanga SC kitaeleweka tu

Uongozi wa Yanga huenda ukaachana na beki wa kati wa kikosi hicho Mganda, Gift Fred, licha ya kubakisha mkataba wa miaka miwili. Beki huyo aliyejiunga na Yanga Julai 7, mwaka jana akitokea SC Villa ya Uganda, inaelezwa anaweza kuvunjiwa mkataba uliosalia ambao utafikia tamati Juni 30, 2026 ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni ambao…

Read More

Big Joe atoa Milioni 100 Vijana wakijue kitabu cha Mufti

Ni July 3, 2024 ambapo Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga promosheni ya kukitangaza kitabu yenye thamani ya Shilingi Millioni 100 kuhakikisha kitabu cha ‘Mmomonyoko wa Maadili Nani Alaumiwe?’ kilichondikwa na Mhe. Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania kinawafikiwa vijana wote Tanzania. “Mkurugenzi au Mwenyekiti wa Clouds Media…

Read More

Waziri alia siasa kushamiri matukio nane ya utekaji 2024

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema katika kipindi cha mwaka huu kuanzia Januari kumetokea matukio manane ya utekaji na asilimia kubwa ya watuhumiwa wa utekaji huo wamekamatwa na kufikishwa mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar  Zubeir ameeleza kushangazwa na…

Read More

KESI YA UKAHABA: Majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama

Dar es Salaam. Shahidi wa nne katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, ameikera mahakama kwa majibu ya ‘sijui’ kwa maswali aliyoulizwa na mawakili wa utetezi. Shahidi huyo ambaye ni polisi wa kike (WP) Konstebo Masadi Madenge kutoka Kituo cha Polisi Magomeni Usalama ametoa majibu hayo jana Julai…

Read More