
ASA kuanza kukabiliana na tindikali ya afya ya udongo
Wakala wa Mbegu za kilimo ASA inatarajia kuanza kutibu Udongo kwa Mashamba yake yenye upungufu wa virutubisho vya Udongo. Hayo yamsemwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mbegu za kilimo ASA Dkt. Sophia Kashenge wakati akifunga mafunzo ya Udhibiti ubora wa Mbegu za kilimo Kwa watumishi wa ASA 31 katika shamba la Mbegu Dabaga…