
JIWE LA SIKU: Safari ya Chama ilianzia katika 5-1
BAADA ya muda mrefu wa kuhusishwa kwa muda mrefu kusajiliwa na Yanga, hatimaye mapema Jumatatu, wiki hii Clatous Chama alitambulishwa rasmi na klabu hiyo kama mchezaji wao mpya. Chama amejiunga na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake wa miaka miwili na Simba kufikia tamati, Juni 30 mwaka huu na klabu hiyo kuamua kutomuongezea…