
EWURA watakiwa kufikisha na kutoa elimu ya matumizi ya nishati safi vijijini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dokta Dotto Biteko ameitaka Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha wanafikisha huduma ya vituo vya mafuta vijijini Ili kurahisisha upatikana wa Nishati mbadala sambamba na kutoa elimu ya matumizi yake. Rai hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dokta James…